1 Samuel 7:12

12 aNdipo Samweli akachukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni. Akaliita Ebenezeri,
Ebenezeri maana yake jiwe la usaidizi.
akisema, “Hata sasa Bwana ametusaidia.”
Copyright information for SwhKC